HolyStore ni mfumo wa kielektroniki wa kuhifadhi taarifa na kumbukumbu mbalimbali za uratibu na uendeshaji wa shughuli mbalimbali za kanisa katoliki, kuwaleta waumini karibu na kuwapa fursa na uhuru wa kuwasiliana na kujadili mambo mbalimbali ya kiroho miongoni mwao
Kuhifadhi taarifa za ushiriki wa muumini kuanzia ngazi ya jumuiya na parokia kwa kipindi chote cha uumini wake. Kumwezesha muumini au mdau kuchangia au kutoa sadaka yake kwa kutumia malipo kwa mitandao ya simu!
Usisali na kuishi kama vile Mungu na maskini hawapo!
Katika katekesi yake Papa Francisko tarehe 21 Oktoba 2020 amehitimisha tafakari juu ya Zaburi, katika mzunguko mzima wa sala na kusisitiza kuwa mzaburi anatufundisha kuomba Mungu kwa ajili yetu, lakini pia kwa ajili ya ndugu na ulimwengu wote